Search This Blog

ALLY ADAM

ALLY ADAM
WEL COM TO STORY

CHI HA NGU

Sunday, April 4, 2010

SHIMO LA MUNGU

 SHIMO LA MUNGU NI KIVUTIO AMBACHO KINA PATI KANA WILAYANI NEWALA .
SHIMO HILI LIPO PEMBEZONI MWA WILAYA HIYO,ENEO AMBALO SHIMO  HILI LINAPATIKANI NI SIO MBALI NA NEWALA MJINI YAANI NINA MAANISHA KWAMBA SIO MBALINA ENEO LA MJINI.KIUKWELI NIKILOMETA CHACHE KUTOKA katikati ya mji huo.shimo la mungu linapakana na shule ya SEKONDARI NEWAla day pia inapakana na SHULE YAsekondari nangwanda.hapo chini nita kuonyesha sehemu tu ya shimo hili kwa nje linavyo onekana kwa picha ya setellite.    
Shimo hili nikivutio kikubwa sana kwa wana nchi pia wageni wanao tembelea wilaya hii pia mkoa huu wa mtwara.
ndugu watanzania kuwekeza sehemu sio lazima kuwe na bahari au mbuga za wanyama pia kuna vivutio ambavyotukivitumia ipasavyo basi nazani tutautokomeza umasikini wakila mtanzania.
Wananewala ambao mko juu kiasi chake mnaombwa kufanya miujiza kwa eneo mnalo ishi kwani mkijichewesha tu mtamkuta mtoto sio wenu tena. NINA MAANISHA NINI.KWAMBA Tutumie rasilimali tulizonazo ili tusije kujilaumu baadae kwamba tungejua basi tungefanya hivi nahi  navile.

No comments: