Search This Blog

ALLY ADAM

ALLY ADAM
WEL COM TO STORY

CHI HA NGU

ALLY CHI

HUYU NI KIJANA AMBAYE KIUKWELI NI
MPAMBANAJI KWENYE DUNIA HII.
KWA JINA ANAITWA ally adam chihangu
ANAISHI MAENEO YA tandale
ANAPENDELEA ushilikiano akiwa kazini,nyumbani pia kwenye micho
ANAKO FANYIA KAZI ni sea cliff hotel
JE WAPENDA KUJUA ANAFANYA KAZI GANI............
TUONANE LIJUMA LIJALO
 ASANTENI SANAAAAAAAAAAAAAAAAA
kama tume ludi tena hivi
kwani mchizi sasa daaaaaa yupo juu kama kipepeo hivi
ok sio isue tuachanenayo hayo kwani mmmmmm ni nomaaa babu.ALLY CHI ni mtu ambaye apenda sana kujituma kwenye kazi zake za I.T kwani huyu jamaaa ni mtu mwenye kipaji cha hali ya juuu sani kwani kwenye kichwa chake huyu mtu kuna vitu ambavyo ni muhimu sana kwenye hii dunia,jifikilie wewe ungependa uwe na ujuzi gani kwenye maisha yako,
1.Fundi wa umeme
2.fundi komputa
3.fundi wa mitambo ya sim
4.kuwa programa wa mitambo mbalimbali
basi sio ndoto hivyo vyote huyu kijana wetu ni mtu ambaye sio sili amebalikiwa kuwqa mmoja ya watu wenye vipaji vya kuweza kushika na kufanya kazi mbalimbali.