There was an error in this gadget
There was an error in this gadget
There was an error in this gadget
There was an error in this gadget

Search This Blog

ALLY ADAM

ALLY ADAM
WEL COM TO STORY

CHI HA NGU

Saturday, July 3, 2010

ALLY CHI

Saturday, May 1, 2010

ALLY ADAM

MY NAME IS ALLY ADAM,
I WAS BONY IN 1986 AT NEWALA DISTRICT IN MTWARA REGION
THE FOLLOWING IS MA ALL DETAIL ABOUT MA ALL LIFE STAYLE.

Thursday, April 22, 2010

CHIHANGU Primary School

Chihangu Primary School : Mike Gilford of Church Stretton CE Primary School


Our long awaited arrival at Dar es Salaam airport at 6am on the morning of 25th July 2008 lived up to expectations. There was an air of organized chaos as we passed through customs to baggage reclaim. We were relieved to see our bags appear, we loaded up luggage trolleys and began our adventure.

That first day was spent settling in to our accommodation and travelling through Dar es Salaam, we also went out to a beach for lunch and our first swim in the Indian Ocean. Dar is a busy vibrant city where only the very brave drive a car. There are no traffic lights or obvious rights of the road, but there are lots of houses, cars and motor bikes. The way to traverse any junction seems to be to close your eyes, accelerate and hope nothing hits you!

After a delayed flight on Precision Air to Mtwara (Precision Air clocks are set two to five hours slower than normal), we were transported by bus to a welcome and greeting at St Michaels Church in Mtwara. Here I first experienced the magic of digital photography – I took out my camera to take some photos of children dancing and, having taken one photo, was mobbed by the subjects of the picture, desperate to see themselves on the camera display. This response never failed to amaze me and was a fantastic way of starting to get to know people. Everyone wanted to shake hands and were amazingly friendly.

After our welcome at the Church, we had a four hour journey, largely over dirt tracks, from Mtwara on the coast in the South of Tanzania, on the border with Mozambique, to Masasi. There we stayed overnight, attending a service in Masasi Cathedral at 7am the following morning. The singing was absolutely fantastic and the Cathedral service, which started with perhaps twenty people at 7am, had probably over 200 people attending when the service finished at 10.30am. Much to my surprise, I was asked to speak to the congregation at the end of the service on behalf of the group that I was with. Luckily I had a translator, George, and everything I said seemed ten times longer when translated into Kiswahili.

Later that Sunday, we travelled an hour to Newala by Land Rover, where we stayed in a convent which was certainly a first for me! The nuns were absolutely fantastic, looking after orphans, running a school and teaching me Kiswahili; they seemed to have time for everyone. We spent Sunday afternoon with the staff and governors of Karume Primary School. Looking around the empty school, which was very stark and bare with barred window, brought home to me the enormous advantages that we have in England and particularly in Church Stretton – we are very lucky!

After looking around Kerume Primary School the following day and meeting with the pupils, I left the group that I was with (from St Laurence’s Primary school in Ludlow, including my wife Kate) and boarded the Land Rover for a 50km drive north to Chihangu Primary School. The journey was fantastic and for me was full of anticipation and expectations. The countryside became increasingly remote as we progressed into the bus! As the Land Rover came close to the school, we could hear drumming.

Chihangu Primary School is very remote. There is no running water and no electricity. I felt very alone—even though there were probably over a thousand village elders, pupils, parents and staff waiting to welcome me. When I arrived there was two hours of dancing, singing and speech making as part of my welcome, culminating in the giving of gifts. The wonderful carved stool and masks now adorn the entrance area at St Lawrence Primary.

I found the time I spent at Chihangu an amazing experience. The people I met were generous, warm and very friendly. They have very little in terms of material possessions but in many ways they have much more than us; they have time for one another, they don’t hurry anywhere, they look after one another and find laughter and pleasure in the simplest of things. We are privileged to be able to establish a link with Chihangu Primary School.

VIJIJINI

1. Walimu 'cha pombe' watavumiliwa hadi lini?


Walimu 'cha pombe' watavumiliwa hadi lini?Kuruthum AhmedALHAMISI iliyopita niliamka alfajiri kama ilivyo ada kwa ajili ya kujiandaa kuelekea kibaruani.Ilipofika saa 1:00 asubuhi nilianza safari ya kwenda kituoni Mwembeni kwa ajili ya kupanda gari.Nilipokuwa kwenye gari linalofanya kazi kati ya Ubungo na Tabata kijana mmoja wa makamu aliingia akaja kuketi karibu yangu."Dada za saa hizi?", alinisabahi, nami nikamjibu, "Nzuri tu". Ukweli ni kwamba alipofunua kinywa chake kusalimia, sote tuliokuwa karibu tuligeukiana maana ni kama pombe iliyochalala imemwagika kutokana na harufu iliyotoka ndani ya mdomo wake."Kaka unaelekea wapi?" nilimuuliza haraka ili nijue kama alikuwa anakaribia kushuka ili niondokane na kadhia hiyo."Naenda kazini", alinijibu. Sikuridhika na jibu hilo nikabandika jingine; "Kazi gani?"Naye akidhani kwamba huenda nilikuwa 'nimemzimia' akanijibu haraka; "Mimi ni mwalimu.Vipi dada yangu una wasiwasi nami?" alinihoji nami nikamwambia ni vizuri binadamu kufahamiana.Ndiyo hakufika mbali akashuka na kuacha abiria waliokuwa karibu yetu wakiuliza maswali bila kujibiwa. "Hivi huyo ni mwalimu kweli? Anakwenda kufundisha nini? Hawa si ndio wanatuharibia watoto wetu," aliuliza mama mmoja."Iwapo harufu kali kama hiyo iliyotoka mdomoni kwake imekuwa kero kwetu kwa muda mfupi tu, je, wale anaoshinda nao, walimu na wanafunzi anaowafundisha?" nilihoji."Kwa nini serikali haiwadhibiti wafanyakazi kama hao au imewashindwa?"nilijisemea kimoyomoyo.Nilisema hivyo kutokana na ukweli kwamba viongozi kadhaa wamekuwa wakitoa kauli na matamko ya kupiga marufuku ulevi kazini, kunywa wakati wa kazi na hata siku za kazi yaani Jumatatu hadi Ijumaa isipokuwa Jumamosi na Jumapili.Huyo si mwalimu pekee 'cha pombe' kwani uchunguzi uliofanywa na Mwananchi nchi nzima unaonyesha kwamba hili ni tatizo sugu. Wengi wao ni wale wanaokatishwa tamaa na mazingira ya kazi.Mathalani katika wilaya ya Newala mkoa wa Mtwara walimu 117 wa shule mbalimbali za msingi inadaiwa wamekithiri katika unywaji wa pombe, hali inayowafanya washindwe kutekeleza vyema majukumu yao ya kazi kama inavyotakiwa.Afisa elimu wa wilaya hiyo, Uzia Ibrahimu analijua tatizo hilo. Wananchi wa vijiji vya Tawala na Chihangu walimbwagia tatizo hilo walipokuwa wakichangia mjadala kuhusu maendeleo ya elimu wakati wa maadhimisho ya wiki ya elimu duniani hivi karibuni.Afisaelimu huyo mwenye dhamana ya kusimamia elimu wilayani humo, alijibu hoja nyingi lakini hiyo ilikuwa chungu aliishia kusema idara yake iliwaagiza walimu wakuu na maafisa elimu kata, kuorodhesha walimu wanaojihusisha na vitendo vya ulevi, utoro na uzembe kazini na kupatikana kwa idadi hiyo."Nataka niwaeleze ndugu zangu wazazi, kuwa tatizo hili tayari tumeliona na tumeanza kulifanyia kazi na kwa kuanzia walimu hawa tumewakabidhi kwa Idara ya Huduma za Walimu (TSD) wilayani kwa hatua za awali, kabla ya kuendelea na utaratibu mwingine wa kinidhamu.Lakini katika hili ninyi pia mnachangia, kwani ndio mnaowapa pombe walimu tena hata muda wa madarasani mnakunywa nao, tubadilike," alisema Uzia.Tofauti na miaka iliyopita wakazi wa vijijini sasa wanajua umuhimu wa elimu kwa watoto wao ndiyo maana wakazi wa Chihangu kata ya Mkunya walikuwa wa kwanza kulalamika juu ya tabia ya baadhi ya walimu wa shule zao za msingi kujihusisha zaidi na masuala ya ulevi na kusahau majukumu ya kazi zao.Walidai hali inawafanya watoto wao kukosa masomo na hivyo kupoteza ari ya kwenda shule na matokeo yake ni kukithiri kwa utoro shuleni."Sisi kila siku, tunawaona walimu wakiwa katika vibanda vya pombe wakati watoto wanacheza nje katika muda ambao walitakiwa kuwepo darasani. Hii ni hujuma ya wazi kwani wanalipwa mishahara inayotokana na kodi zetu bila ya kuzifanya kazi, tunaomba hali hii irekebishwe,"alisema Zainabu Bakari mkazi wa kijiji cha Chihanga.Tatizo la ulevi kama anavyokiri mratibu wa elimu kata ya Mchuli II, Frederick Mmole, linajulikana. Jamii inawajua walimu walevi, lakini inawachukulia hatua gani kudhibiti maana kujua tatizo ni sehemu ya ufumbuzi. Kwa mtazamo wangu, pamoja na madai ya hali ngumu ya maisha, udogo wa mishahara nk, kulewa kupita kiasi au kwenda shuleni mwalimu (mfanyakazi) akiwa amelewa (eti wanaahirisha matatizo) haikubaliki. Watu hao waadhbiwe kwa mujibu wa sheria.

1. Re: Walimu 'cha pombe' watavumiliwa hadi lini?

Hii hebu iwekeni kule kwenye jukwaa la elimu, itasaidia kujua moja ya sababu ya kushuka kwa kiwango cha elimu nchini.

Sunday, April 11, 2010

CHI CARGO

CHI CARGO TRANSPORTATION AGENT CO.Hii ni kampuni ya usafirishaji wa mizigo tanzania.
kampuni hii inamilikiwa na ndugu ALLY CHI.
Kampuni hii ilianzishwa mwaka 2009.ikiwa makao makuu yake yapo Magomeni Mapipa
ikiwa ime sajiliwa kialali kabisa na serekali.
Marengo ya kampuni hii ni
Kuwakikisha kwamba inakua na uwezo wa kuafirisha mizigo kutoa na kuingiza mizigo ndani na nje ya nchi.
kampuni hii ina wafanyakazi wazowefu wenye mda mrefu kutoka makampuni tofauti ya usafirishaji mizigo.
kwa sasa kampuni hii imejikita sana kwa usafirishaji wa mizigo ya ndani ya nchi ususani nyanda ya kusi mwa tanzania.shinyanga.mwanza na mikoa kama vile morogoro ambayo iko kari  na mkoa wa Dar es salaam.
Kwa sasa ksmpuni hii imeamisha makazi yake na kuamishiwa wilaya ya temeke.Mtaa wa buliage
 kwa mawasiliano
 Email;allychi52@yahoo.com; simu no. +255 714102471 au +255 713 466971

       CHI CARGO  TRANSPORTATION AGENT CO. N i kwa usafirishaji wa uhakika na kwa usala ma  wamzigo wa mteja. KWETU SISI MTEJA NI MTU MUHI SANA,.NYOTE MNAKALIBISHWA KWA UHAKIKA WA BIASHALA ZAKO.  

Sunday, April 4, 2010

SHIMO LA MUNGU

 SHIMO LA MUNGU NI KIVUTIO AMBACHO KINA PATI KANA WILAYANI NEWALA .
SHIMO HILI LIPO PEMBEZONI MWA WILAYA HIYO,ENEO AMBALO SHIMO  HILI LINAPATIKANI NI SIO MBALI NA NEWALA MJINI YAANI NINA MAANISHA KWAMBA SIO MBALINA ENEO LA MJINI.KIUKWELI NIKILOMETA CHACHE KUTOKA katikati ya mji huo.shimo la mungu linapakana na shule ya SEKONDARI NEWAla day pia inapakana na SHULE YAsekondari nangwanda.hapo chini nita kuonyesha sehemu tu ya shimo hili kwa nje linavyo onekana kwa picha ya setellite.    
Shimo hili nikivutio kikubwa sana kwa wana nchi pia wageni wanao tembelea wilaya hii pia mkoa huu wa mtwara.
ndugu watanzania kuwekeza sehemu sio lazima kuwe na bahari au mbuga za wanyama pia kuna vivutio ambavyotukivitumia ipasavyo basi nazani tutautokomeza umasikini wakila mtanzania.
Wananewala ambao mko juu kiasi chake mnaombwa kufanya miujiza kwa eneo mnalo ishi kwani mkijichewesha tu mtamkuta mtoto sio wenu tena. NINA MAANISHA NINI.KWAMBA Tutumie rasilimali tulizonazo ili tusije kujilaumu baadae kwamba tungejua basi tungefanya hivi nahi  navile.

Monday, March 22, 2010

NEWALA

Newala ni wilaya mojawapo iliopo mkoni mtwara,mkoa huu upo kusini mwa tanzania
Newala ni kivutio kikubwa sana katika nchi hii ilio jaa rASILIMARI NYINGI SANAza utarii ambazo kiukweli hii ni nchi ambayo watanzania tunaweza tukajivunia.
Wilaya hii ni kati ya wilaya kubwa nchini tanzania.kwanini tunasema ni sehemu ya kivutio kwa wenyeji pia hata wageni kutoka nchi za mashaliki ya mbali kwalugha zingine tunaweza tukaita UGHAIBUNI.sehemuhii
(NEWALA) nisehumu ambayo inasifa nyingi sana zikiwemo
(1)NewalaNISEHEMU ambayo kiukweli hali yaHEWA ya eneo hili ni safi kwa kulinganisha na sehemu nyinginezo nyingi sana hapa TZ.
(2)NEWALA ni sehemu ambayo iko juu kutoka usawa wa bahari yaani namaanisha ni plateau(makonde plateau)

(3)NewALA NI SEHEMU AMBAYO INA ardhi mzuri ambayo kiukweli ni sehemu ambayo inafaa kwa matumizi mengi katika maitaji ya mwanadamu.NA hii hapo chini ni sehemu tu ha wilaya hii
ETAENDELEEEEE KWA LEO TUISHIE HAPO.
HIIIII NI siku nyingine  ni siku ambayo wewe kam mtanzania mwenye nia utakuja kujionea manzari ya newala kwa ndani au tunaweza kusema ni sehemu tu ya wilaya hiyo jinsi inavyo onekana kwaa mtizamo wa haraka haraka hapa leo nita kuonyesha kwa ukalibu mazingila haya halafu wewe ndugu msomaji uta jionea kwamba sehemu hii ya makonde plateau(newala) inafaa kwa kwenda kuwekeza au vipi.
Hapo ni sehemu tu ya eneo la nje ya soko kuu la newala ambalo linafahamika kwa jina la kijiweni.Ni eneo ambalo vijana wengi wamekua wakilitumia kwA biashara ndogondogo.Hapo jini utajionea picha mbili ambazo zitakua zikikuonyesha jinsigani wilaya ya newala inavyoonekana kwa juu yaani ni picha ya satallite
Hapo juu nimejalibu kukuonyesha tu sehemu ya kati ya wilaya ya newala mjini

Picha hii inakuonyesha jinsigani wilaya hii mitaa na barabara za mitaani zilivyo weza kujigawa na kutengeneza kitu ambacho kina eleweka.Hii ni sehemu ya wilaya yanewala na mitaayake inavyo onekana kwa picha ya satallite.
Kama nilivyo waambia kwamba wilaya hii iko kusini mwa tanzania ndani ya mkoa wa mtwala nikati ya wilaya kubwa na zakwanza kuanzishwa nchini tanzania.Wilaya hii iko mpakani mwa tanzania na msumbiji.Niwilaya ambayo ikokari na mpaka huo ambao ni mto Ruvuma.hapochini nitakunyesha sehemu yampakahuo
Hapo juu ni sehemu ya mpaka wa tanzania na msumbiji kwa upande wa kusini mwa tanzania,ndani ya wilaya ya newala.Ndugu zangu watanzania wilaya hii ya newala ni sehemu ambayo walio wengi hawaifahamu kiundani ni wilaya ambayo wakazi wake haswaa wanajishuhulisha na kitugani. LAKINI KWA LEO NAOMBA TUISHIE HAPA TUKUTANE TENA WIKI IJAYO ILI TUELEZANE SHUGHULI AMBAZO WAKAZI WA NEWALA WANAJISHUHULISHA NAZO.