Search This Blog

ALLY ADAM

ALLY ADAM
WEL COM TO STORY

CHI HA NGU

Monday, March 22, 2010

NEWALA

Newala ni wilaya mojawapo iliopo mkoni mtwara,mkoa huu upo kusini mwa tanzania
Newala ni kivutio kikubwa sana katika nchi hii ilio jaa rASILIMARI NYINGI SANAza utarii ambazo kiukweli hii ni nchi ambayo watanzania tunaweza tukajivunia.
Wilaya hii ni kati ya wilaya kubwa nchini tanzania.kwanini tunasema ni sehemu ya kivutio kwa wenyeji pia hata wageni kutoka nchi za mashaliki ya mbali kwalugha zingine tunaweza tukaita UGHAIBUNI.sehemuhii
(NEWALA) nisehumu ambayo inasifa nyingi sana zikiwemo
(1)NewalaNISEHEMU ambayo kiukweli hali yaHEWA ya eneo hili ni safi kwa kulinganisha na sehemu nyinginezo nyingi sana hapa TZ.
(2)NEWALA ni sehemu ambayo iko juu kutoka usawa wa bahari yaani namaanisha ni plateau(makonde plateau)

(3)NewALA NI SEHEMU AMBAYO INA ardhi mzuri ambayo kiukweli ni sehemu ambayo inafaa kwa matumizi mengi katika maitaji ya mwanadamu.NA hii hapo chini ni sehemu tu ha wilaya hii
ETAENDELEEEEE KWA LEO TUISHIE HAPO.
HIIIII NI siku nyingine  ni siku ambayo wewe kam mtanzania mwenye nia utakuja kujionea manzari ya newala kwa ndani au tunaweza kusema ni sehemu tu ya wilaya hiyo jinsi inavyo onekana kwaa mtizamo wa haraka haraka hapa leo nita kuonyesha kwa ukalibu mazingila haya halafu wewe ndugu msomaji uta jionea kwamba sehemu hii ya makonde plateau(newala) inafaa kwa kwenda kuwekeza au vipi.
Hapo ni sehemu tu ya eneo la nje ya soko kuu la newala ambalo linafahamika kwa jina la kijiweni.Ni eneo ambalo vijana wengi wamekua wakilitumia kwA biashara ndogondogo.Hapo jini utajionea picha mbili ambazo zitakua zikikuonyesha jinsigani wilaya ya newala inavyoonekana kwa juu yaani ni picha ya satallite
Hapo juu nimejalibu kukuonyesha tu sehemu ya kati ya wilaya ya newala mjini

Picha hii inakuonyesha jinsigani wilaya hii mitaa na barabara za mitaani zilivyo weza kujigawa na kutengeneza kitu ambacho kina eleweka.Hii ni sehemu ya wilaya yanewala na mitaayake inavyo onekana kwa picha ya satallite.
Kama nilivyo waambia kwamba wilaya hii iko kusini mwa tanzania ndani ya mkoa wa mtwala nikati ya wilaya kubwa na zakwanza kuanzishwa nchini tanzania.Wilaya hii iko mpakani mwa tanzania na msumbiji.Niwilaya ambayo ikokari na mpaka huo ambao ni mto Ruvuma.hapochini nitakunyesha sehemu yampakahuo
Hapo juu ni sehemu ya mpaka wa tanzania na msumbiji kwa upande wa kusini mwa tanzania,ndani ya wilaya ya newala.Ndugu zangu watanzania wilaya hii ya newala ni sehemu ambayo walio wengi hawaifahamu kiundani ni wilaya ambayo wakazi wake haswaa wanajishuhulisha na kitugani. LAKINI KWA LEO NAOMBA TUISHIE HAPA TUKUTANE TENA WIKI IJAYO ILI TUELEZANE SHUGHULI AMBAZO WAKAZI WA NEWALA WANAJISHUHULISHA NAZO.